Kamusi Teule ya Kiswahili

KSh1,260

KAMUSI TEULE ya Kiswahili – Kilele cha Lugha

“Ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofiawenye tajriba kubwa.

Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomajilengwa.”

Kamusi hii ina;

Maneno ya jumla zaidi ya 320, 000Vidahizo na vibadala zaidi ya 35, 000Picha za kuvutia msomajiEtimolojia ya vidahizoNgeli za manenoWingi wa manenovidahizo vya taaluma mbalimbaliIstilahi za ushairiIstilahi za fasihi andishi